Lengo kuu ni kurahisisha ufikiaji wa taarifa za kina za uuzaji na biashara, hivyo basi kukuza ufanyaji maamuzi sahihi na kukuza ufanisi na ukuaji ndani ya mfumo ikolojia wa biashara wa kitaifa. Hii inafanikiwa kupitia utoaji wa data ya bei, uchambuzi wa tabia ya kibiashara, kuwezesha mawasiliano kati ya washirika wa biashara, na kutumika kama hazina ya kuaminika ya akili ya biashara ili kusaidia maendeleo na ukuzaji wa biashara nchini.
Pakua TanTrade Biashara App
Soma Zaidi kwa kupakua
Bidhaa za Uvuvi: Bei ya pweza ilishuka kwa wastani wa asilimia 4 na bei ya jodari ilishuka kwa wastani wa asilimia 1 ikilinganishwa na wiki iliyopita kutokana na kuongezeka kwa kiwango cha samaki waliovaliwa katika kipindi cha wiki nzima.
Nondo: Bei ya nondo milimita 12 na milimita 16 zote zilishuka kwa asilimia 1 ikilinganishwa na wiki iliyopita kutoakana na kuendelea kuongezeka kwa kiwango cha uzalishaji viwandani. Bati : Bei ya bati geji 28 ilishuka kwa wastani wa asilimia 2 ikilinganishwa na wiki iliyopita ambayo imetokana na kuendelea kuongezeka kwa shughuli za uzalishaji wa viwanda vya bidhaa hizo.
Soma Zaidi kwa kupakua